Tuesday, September 22, 2015

HEBU CHEKI UHABARIKE NAMI



Waandamanaji mjini Prague, Jamhuri ya Czech wameondoa bendera iliyokuwa imewekwa juu ya jumba la rais na badala yake kupandisha nguo ya ndani kulalamikia utawala wa Rais Milos Zeman.