Wednesday, February 12, 2014

FASHION

Nikipindi kinacho husu urembo ,mavazi, na mambo mbalimbali ya nayohusu urembo.

Nakwakuanza tuta angalia suara zima la mavazi  nazungumzia  CLAZY  COLOUR 

CLAZY COLOUR nimchanganyiko wa rangi mbalimbali za mavazi hapa na maanisha una changanya rangi za nguo mfano unaweza ukavaa  labda njano ,kijani, na bluu kwa lugha nyingine utaambiwa kachumbari .

Endelea kuwa nami...............

No comments:

Post a Comment