Wednesday, April 30, 2014

UNAMTAZAMO GANI?

Kwani tanzania tumetoka wapi na tunakwenda wapi? nikiwa na mtazamo mpya wa sera ya serikari tatu, kwani toka miaka ya nyuma suala hili hamkuliona hadi sasa mnataka serikari tatu?kama tunavyo jua hili nisuala la kisera ambalo limeanzishwa na wapemba wanaotaka serikali tatu kwa dhumuni la haki zao za kimsingi.

swali lakujiuliza je nini kitatokea mara baada ya kuwa na serikari tatu? wa tanganyika watabaki na tanganyika yao? na wa zanzibar watabaki na zanzibar yao?pia utajiuliza tena swali kwamba neno"Zanzibar" ni muungano wa pemba na unguja  ndio uta pata zanzibar sasa pia muungano huo uta gawanyika? na  je kama watakuwa marais wa tatu je huyo rais wa muungano atachaguliwa na nani na atatokea wapi na atakaa wapi

No comments:

Post a Comment